Posted on: December 9th, 2024
Halmashauri ya Mji Ifakara Imeadhimisha miaka 63 ya Uhuru kwa Kupanda miti elfu 10 katika Kata ya Mbassa.
Tukio hilo limeongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe.Wakili Dunst...
Posted on: December 3rd, 2024
Mafunzo haya yalifanyika siku ya jumatatu tarehe 2,Disemba 2024 katika Tarafa ya Ifakara yakiwa na lengo la kuwawezesha wakulima kuboresha uzalishaji wa mazao ya mbogamboga na matunda kupitia mbinu za...
Posted on: December 1st, 2024
Wananchi wa Halmashauri ya Mji Ifakara leo Disemba 1, 2024 wameshiriki katika kuadhimisha siku ya Ukimwi Duniani inayoadhimishwa Duniani Kote kila ifikapo Disemba, 1 ya kila mwaka.
M...