Posted on: March 15th, 2024
Balozi wa Norway Nchini Tanzania Mhe.Tone Tinnes amezindua Jengo la kikundi cha Wosia wa Baba Machi 14,2024 ambalo limejengwa kwa ufadhili wa EAMCEF kwa Hisani ya Serikali ya Ufalme wa Norway.
...
Posted on: March 8th, 2024
Maadhimisho ya Siku ya Wanawake duniani yamefanyika kiwilaya katika Halmashauri ya Mji Ifakara ambapo wanawake kutoka sehemu mbali mbali wamejitokeza katika kufanikisha shughuli hiyo.
Aidha w...
Posted on: February 14th, 2024
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Mji Ifakara limeridhia na kupitisha Rasimu ya mpango na Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 kupitia kikao maalum cha Baraza la Bajet kilichofanyika Februa...