-
Jan 08
-
Dec 30
-
Dec 11
-
Dec 11
-
Dec 07
-
Dec 06
-
Nov 02
-
Oct 28
Katibu Tawala Wilaya ya Kilombero Abraham Mwaikwila, ametembelea baadhi ya Shule za Msingi na Sekondari leo Januari 8,2023. Katika matembezi hayo ameambatana na Maafisa Elimu wa Msingi
read moreViongozi wa Soko Kuu la Ifakara, wameridhia eneo lililotengwa na Halmashauri ya Mji Ifakara, kupisha ujenzi wa Soko la Kisasa ifikapo Machi 2024. Maridhiano hayo yamefanyika Tarehe 29 Disemba 2023
read moreWakuu wa Divisheni na Vitengo wa Halmashauri za Ifakara,Mlimba,Ulanga na Malinyi wamehudhuria mafunzo ya mfumo wa Upimaji Utendaji kazi wa Taasisi - PIPMIS na yale ya Mfumo wa Upimaji Uten
read more Watumishi wa Halmashauri ya Mji Ifakara wameadhimisha siku kuu ya 9 Disemba kwa kufanya Bonanza la michezo sambamba na usafi wa Mazingira katika kituo cha Afya kibaoni "Umoja na mshikamano ni
read moreKaimu Mkurugenzi Ndg.Rashid Semngoya amezungumza na Waganga wafawidhi wa Vituo vya Afya na Zahanati za Halmashauri ya Mji Ifakara ili kuweza kutoa huduma bora Kwa wananchi. Hata hivyo amewataka kut
read moreMkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe.Dunstan Kyobya amekabidhi pikipiki sita(6) Kwa maafisa Ugani na mifugo zilizotolewa na wizara ya mifugo na uvuvi leo desemba 6,2023. Hata hivyo Halma
read moreMkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Ifakara Ndg.Lena Nkaya ameeleza mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita katika Mkutano wa Vyombo vya Habari uliofanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mkoa wa Morogoro le
read moreWadau wa kilimo,mifugo na uvuvi wamejitokeza kata ya Mwaya (uwanja wa Mashada) katika maadhimisho ya ufunguzi wa msimu wa kilimo 2023-2024 ambapo wadau hao wametakiwa kutumia njia za kisasa katika kut
read more
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Mji Ifakara
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Simu ya Mkononi: -
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.