BILIONI 42 KUMALIZA KERO YA MAJI IFAKARA
Kufikia 2025 Wananchi wa Mji wa Ifakara wataondokana na kero ya upungufu wa Maji kupitia Mradi wa Maji unaojengwa Kitongoji cha Nanganji Kijiji cha Kibaoni kata ya Kibaoni utakaogharimu kiasi cha Shilingi Bilioni 42.
Ifakara Mji na Dokta Samia hakuna kilichosimama!