Posted on: February 7th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe. Wakili Dunstan Kyobya amesema uwepo wa Kampuni ya Sukari Kilombero uwe chachu ya kuwanufaisha wakulima wa Miwa katika Wilaya hiyo .
Hayo ameyasema...
Posted on: February 3rd, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe.Wakili Dunstan Kyobya leo februari 3,2025 amezitaka taasisi zote zinazosimamia kesi za madai kutenda haki pia wafanye kazi Kwa weledi,uadilifu pamoja na uwajibika...
Posted on: February 2nd, 2025
Kufuatia kukithiri Kwa wimbi la utapeli na wizi wa mitandaoni Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa mafunzo Kwa Madiwani,Viongozi wa Serikali za Mitaa,vijiji na Kata wa Halmashauri ya Mji Ifak...