Posted on: November 19th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe. Wakili Dunstan Kyobya amewahimiza wananchi wa Kijiji cha Katurukila kilichopo Kata ya Mkula kujitokeza kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa siku ya Jumatano t...
Posted on: November 19th, 2024
Kampeni hiyo imezinduliwa leo tarehe 19 Novemba na Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe. Wakili Dunstan Kyobya katika Shule ya Sekondari Katurukila iliyopo Kata ya Mkula Halmashauri ya Mji Ifakara.
...
Posted on: November 15th, 2024
"MKAISHI NA KUTII KIAPO MLICHOAPA" Mhe. Wakili Dunstan Kyobya
Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Akiba wametakiwa kuishi kiapo walichoapa kwa kuzingatia utii, uaminifu, nidhamu, haki, na w...