• Nukuu ya Ukaribisho
  • Maswali ya mara kwa mara
  • Mawasiliano Yetu
Ifakara Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Mji Ifakara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia
    • Taswira
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Biashara
    • Ukaguzi wa Ndani
    • Manunuzi & Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Ustawi wa Jamii
    • TEHAMA
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
  • Uwekezaji
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Kapu
    • Utamaduni,Sanaa & Michezo
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos

HALMASHAURI YA MJI IFAKARA YAADHIMISHA MIAKA 63 YA UHURU KWA KUPANDA MITI ELFU KUMI

Posted on: December 9th, 2024

Halmashauri ya Mji Ifakara Imeadhimisha  miaka 63 ya Uhuru kwa Kupanda miti elfu 10 katika Kata ya Mbassa.


Tukio hilo limeongozwa na  Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe.Wakili Dunstan Kyobya ambapo miti hiyo ilipandwa kando ya mto Lumemo uliopo Kata ya Mbasa.


Aidha Mkuu huyo wa Wilaya alimshukuru Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuleta fedha Kwa ajili ya ujenzi wa tuta la kuzuia maji ya Mto Lumemo kwenda kwenye makazi ya watu na kusababisha mafuriko.


" Leo tumepanda miti kando ya Mto Lumemo ikiwa ni maelekezo ya  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan  Kwamba kila Wilaya,Kila mwananchi Kupanda mti siku ya 9 Disemba kama uhifadhi wa mazingira hivyo niziombe taasisi zingine kuja kupata maeneo ya kutengeneza garden kuanzia daraja la Machipi mpaka Lipangalala kuwe na maeneo ya kuvutia."Amesema Mhe.Kyobya


Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Ifakara Bibi. Witness Kimoleta aliutaka uongozi wa Kata ya Mbassa kuitunza miti hiyo ili kuhakikisha inakua vizuri.


" Afisa Maendeleo ya Jamii ahakikishe  miti inapandwa katika Eneo hili na pia nitoe wito na niagize Serikali ya Kijiji na Kata ya Mbassa kuhakikisha Ulinzi na usalama wa maeneo haya yaliyokwisha pandwa miti ili iweze kukua vizuri". Alieleza Bibi. Kimoleta.


Nae Katibu Tawala wa Wilaya ya Kilombero Bw. Abraham Mwaikwila  aliwasihi Wananchi kushiriki shughuli za Kijamii katika maeneo mbalimbali ikiwemo Kupanda miti, kufanya usafi  sehemu mbalimbali.


" Ifakara tuna NGOs nyingi ambazo zina jihusisha na Uhifadhi wa Mazingira hivyo niwasihi wazidi kujitokeza kupata maeneo ya kupanda miti ili kutunza Mazingira  yetu. Alisema Bw. Mwaikwila

Latest Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA KUPIGA KURA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA KITUO TOFAUTI NA KITUO ALICHOJIANDIKISHA

    read more
  • TANGAZO LA ULIPAJI WA ADA NA USHURU KWA WANANCHI, WAFANYABIASHARA NA TAASISI MBALIMBALI IFAKARA MJI

    read more
  • View More

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI KWA MWAKA 2026/27 HADI 20230/31
  • MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA, TIMU YA MENEJIMENTI WAPONGEZWA
  • MHESHIMIWA KASSIM FAYA NAKAPALA ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA
  • MHESHIMIWA KASSIM FAYA NAKAPALA ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA
  • KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA KILOMBERO AWATAKA MADIWANI KUHAKIKISHA KERO ZA WANANCHI ZINATATULIWA
  • More

Mawasiliano Yetu

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Ifakara
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Simu ya Mkononi: -

Kurasa za Haraka

  • CHF
  • Ramani ya halmashauri ya mji wa Ifakara
  • MATOKEO KIDATO CHA NNE 2024
  • BOFYA HAPA KUOMBA KITAMBULISHO CHA WAJASILIAMALI WADOGO
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2024

Kurasa Mfanano

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Wizara ya Tamisemi
  • Wizara ya utumishi wa uma
  • Tovuti ya mkoa wa Morogoro
  • Tovuti ya Ajira Tanzania

Mitandao ya Kijamii

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya Uhifadhi
  • Maswali ya mara kwa mara
  • Ramani