-
Nov 04
-
Nov 05
-
Nov 05
-
Oct 31
-
Oct 28
-
Oct 28
-
Oct 08
-
Oct 11
Mratibu wa TASAF àà Halmashauri ya Mji Ifakara Bi. Brigita amewataka Wawezeshaji wa TASAF kutoa elimu kwa walengwa kuhusu kusajiliwa na kupokea malipo kielekroniki. Aidha, Bi.
read moreMkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe. Wakili Dunstan Kyobya amewahimiza Wananchi wa Kata ya Ifakara na Wilaya ya Kilombero kwa ujumla wenye sifa za kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kushiriki
read moreMkuu wa Wilaya ya kilombero Mhe.Wakili Dunstan Kyobya amefika kata ya Lipangalala Oktoba 31/2024, nyumbani Kwa Bi. Selestina Akwera ambaye alikuwa na mgogoro wa ardhi na Bw. Sikujua Funuki uliodumu kw
read moreKikao cha Kamati ya Lishe kwa Robo ya kwanza kimefanyika Leo tarehe 28 Oktoba 2024 katika Ukumbi wa Mikutano uliopo Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kilombero. Pamoja na mambo mengin
read moreMkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe. Wakili Dunstan Kyobya leo Jumatatu tarehe 28 Oktoba 2024 amezindua Wodi ya kujifungulia wakina mama wajawazito katika Kituo cha Afya Kibaoni kilichopo Halmashaur
read moreMkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe. Wakili Dunstan Kyobya akitoa Vyeti vya ukamilishaji wa Miradi ya Jamii iliyotekelezwa na Walengwa wa TASAF mwaka 2023/2024. Vyeti hivyo vilitolewa kwa V
read moreDiwani wa Kata ya Mang'ula Mhe. Flora Ndumba amewapatia zawadi ya khanga Wanawake wa Kata ya Mang'ula kwenye Kikao cha Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Halmashauri ya Mji Ifakara lil
read more
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Mji Ifakara
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Simu ya Mkononi: -
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.