• Nukuu ya Ukaribisho
  • Maswali ya mara kwa mara
  • Mawasiliano Yetu
Ifakara Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Mji Ifakara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia
    • Taswira
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Biashara
    • Ukaguzi wa Ndani
    • Manunuzi & Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Ustawi wa Jamii
    • TEHAMA
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
  • Uwekezaji
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Kapu
    • Utamaduni,Sanaa & Michezo
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos

UZINDUZI WA ZOEZI LA UTOAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA 10

Posted on: November 18th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe. Wakili Dunstan Kyobya amezindua Rasmi zoezi la  utoaji wa Mikopo  ya Asilimia 10 kwa Vikundi vya Wanawake , Vijana na Watu wenye ulemavu , ambazo ni Fedha za Mapato ya ndani ya Halmashauri na kutoa  Hundi ya Mfano yenye thamani ya Shilingi Milioni 817,619,365.


Uzinduzi huo umefanyika leo Jumatatu tarehe 18 Novemba katika Ukumbi wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi ( Ifakara FDC) uliopo uliopo Halmashauri ya Mji Ifakara


" Nawapongeza sana  Vikundi vyote , Fedha hizo  mkazitumie kulingana na Malengo mliyojiwekea . Halmashauri inaenda kutoa Fedha  Milioni 817, 619,365  kwa makundi matatu , Wanawake , Vijana na Watu wenye Ulemavu, mkazitumie vizuri Ili mkatimize Malengo yenu" . Alisema Mhe. Kyobya 


Wakati huohuo, Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Ifakara Bibi. Witness Kimoleta aliwasihi  wote walioomba na watakaopata Mikopo hiyo kuzingatia kanuni, taratibu na Sheria za Mikopo ili ikatoe matokeo chanya katika shughuli wanazoenda kuzifanya na kutimiza azma ya  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuhakikisha makundi mbalimbali  ya wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu yanajikwamua kiuchumi.


" Tumewaandaa  Maafisa  wanaoshughulikia Mikopo kuendelea kutoa Elimu na  kuwatembelea mara kwa mara katika maeneo yao kuhakikisha shughuli wanazofanya zinaleta tija". Alisisitiza Bibi. Kimoleta na kuongeza

"  Kiasi cha Sh. Milioni 261,000,000 kitatolewa  kwa Kata 15 kati ya 19 kwa  Vikundi  vilivyokaguliwa na kukidhi vigezo kwa  awamu ya kwanza , awamu nyingine zinafuatia, Halmashauri ya Mji Ifakara iko bega kwa bega na Wananchi  kuhakikisha kwamba wanatumia Mikopo vizuri na Mikopo hiyo inaleta Mabadiliko katika maisha yao". Alimaliza Bibi. Kimoleta 


Mmoja wa Wanakikundi hao Bi. Hilda Imani kutoka Kata ya Katindiuka  alishukuru Halmashauri ya Mji Ifakara kwa kuwapa Elimu ya kujiunga kwenye Vikundi Ili waweze Kupata Mikopo hiyo

" Kikubwa tujue hii ni Mikopo lazima turejeshe kwa wakati , ninaimani Mikopo hii itatutoa sehemu Moja kwenda nyingine". Alisema  Bi. Hilda






Latest Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA KUPIGA KURA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA KITUO TOFAUTI NA KITUO ALICHOJIANDIKISHA

    read more
  • TANGAZO LA ULIPAJI WA ADA NA USHURU KWA WANANCHI, WAFANYABIASHARA NA TAASISI MBALIMBALI IFAKARA MJI

    read more
  • View More

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI KWA MWAKA 2026/27 HADI 20230/31
  • MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA, TIMU YA MENEJIMENTI WAPONGEZWA
  • MHESHIMIWA KASSIM FAYA NAKAPALA ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA
  • MHESHIMIWA KASSIM FAYA NAKAPALA ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA
  • KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA KILOMBERO AWATAKA MADIWANI KUHAKIKISHA KERO ZA WANANCHI ZINATATULIWA
  • More

Mawasiliano Yetu

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Ifakara
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Simu ya Mkononi: -

Kurasa za Haraka

  • CHF
  • Ramani ya halmashauri ya mji wa Ifakara
  • MATOKEO KIDATO CHA NNE 2024
  • BOFYA HAPA KUOMBA KITAMBULISHO CHA WAJASILIAMALI WADOGO
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2024

Kurasa Mfanano

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Wizara ya Tamisemi
  • Wizara ya utumishi wa uma
  • Tovuti ya mkoa wa Morogoro
  • Tovuti ya Ajira Tanzania

Mitandao ya Kijamii

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya Uhifadhi
  • Maswali ya mara kwa mara
  • Ramani