WALENGWA WA TASAF WAPATIWA MAFUNZO
Walengwa wa TASAF katika Kijiji cha Mkasu wakipewa Mafunzo yanayohusu namna ya kupata malipo kwa njia ya mtandao, kujiwekea akiba na namna ya kuwekeza.
Aidha Walengwa hao walifundishwa juu ya kuepukana na suala Zima la ukatili wa Kijinsia na kusisitizwa kushiriki kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

