• Nukuu ya Ukaribisho
  • Maswali ya mara kwa mara
  • Mawasiliano Yetu
Ifakara Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Mji Ifakara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia
    • Taswira
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Biashara
    • Ukaguzi wa Ndani
    • Manunuzi & Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Ustawi wa Jamii
    • TEHAMA
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
  • Uwekezaji
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Kapu
    • Utamaduni,Sanaa & Michezo
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos

WAHITIMU WA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA WATAKIWA KUISHI KWA KUTII KIAPO WALICHOAPA

Posted on: November 15th, 2024

"MKAISHI  NA KUTII KIAPO MLICHOAPA" Mhe. Wakili Dunstan Kyobya

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Akiba wametakiwa  kuishi kiapo walichoapa kwa kuzingatia utii, uaminifu, nidhamu, haki, na weledi wakati wa kutenda majukumu yao.

Hayo yamesemwa leo tarehe 15 Novemba 2024  na Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe. Wakili Danstan Kyobya wakati alipokua akifunga Mafunzo kwa wahitimu hao wa Mafunzo ya Jeshi la Akiba Kundi la 47 A , Kata ya Kibaoni Halmashauri ya Mji Ifakara.

" Msimuonee mtu  mkatekeleze majukumu yenu kwa  kutenda  haki na kuzisimamia" . Alisema Mhe. Kyobya

Awali  wakati akisoma taarifa kwa Mgeni Rasmi ,Mshauri Mkuu wa Mafunzo ya  Jeshi la Akiba Wilaya ya Kilombero Luteni  Kanali  Munisi  alitaja miongoni mwa mambo waliyojifunza wahitimu hao  ni ukakamavu, ujasiri , nidhamu, uaminifu ,utii, mapambano dhidi ya Rushwa , huduma ya kwanza n.k.

Mafunzo hayo yalifanyika kwa muda wa wiki 18 , jumla ya wahitimu 125 wamehitimu Mafunzo hayo wakiwemo wanaume 106 na Wanawake 19.

Mahafali hayo yalihudhuriwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Ifakara Bi. Zahara Michuzi.





Latest Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA KUPIGA KURA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA KITUO TOFAUTI NA KITUO ALICHOJIANDIKISHA

    read more
  • TANGAZO LA ULIPAJI WA ADA NA USHURU KWA WANANCHI, WAFANYABIASHARA NA TAASISI MBALIMBALI IFAKARA MJI

    read more
  • View More

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI KWA MWAKA 2026/27 HADI 20230/31
  • MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA, TIMU YA MENEJIMENTI WAPONGEZWA
  • MHESHIMIWA KASSIM FAYA NAKAPALA ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA
  • MHESHIMIWA KASSIM FAYA NAKAPALA ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA
  • KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA KILOMBERO AWATAKA MADIWANI KUHAKIKISHA KERO ZA WANANCHI ZINATATULIWA
  • More

Mawasiliano Yetu

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Ifakara
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Simu ya Mkononi: -

Kurasa za Haraka

  • CHF
  • Ramani ya halmashauri ya mji wa Ifakara
  • MATOKEO KIDATO CHA NNE 2024
  • BOFYA HAPA KUOMBA KITAMBULISHO CHA WAJASILIAMALI WADOGO
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2024

Kurasa Mfanano

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Wizara ya Tamisemi
  • Wizara ya utumishi wa uma
  • Tovuti ya mkoa wa Morogoro
  • Tovuti ya Ajira Tanzania

Mitandao ya Kijamii

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya Uhifadhi
  • Maswali ya mara kwa mara
  • Ramani