MAHAFALI YA 10 YA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA TIBA NA SAYANSI MTAKATIFU FRANSISKO-IFAKARA.
Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe.Wakili Dunstan Kyobya pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Ifakara Bi.Zahara Michuzi wameshiriki mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Tiba na Sayansi cha Mtakatifu Fransisko-Ifakara yaliyofanyika katika viwanja vya Bishop Patrick Iteka Complex, Novemba 14,2024.










