KAMATI YA MIKOPO IFAKARA MJINI YATEMBELEA VIKUNDI
Kamati ya Mikopo Kata ya Ifakara , imetembelea Vikundi mbalimbali vya Kata vilivyoomba Mikopo ili kukagua Miradi , kufanya tathmini na kuangalia uhalisia wa Miradi ili kuona kama Miradi yao inalingana na pesa zilizoombewa Mikopo



