-
Sep 06
-
Sep 04
-
Aug 22
-
May 31
-
May 24
-
May 21
-
Apr 24
-
Apr 09
IFAKARA MJI YATWAA KOMBE LA MSHINDI WA PILI, SHIMISEMITA 2024 Timu ya Mpira w Miguu wanaume ya Halmashauri ya Mji Ifakara imetwaa kombe la Mshindi wa Pili kwenye hatua ya fainali ya SHI
read moreTimu ya mpira wa miguu ya Halmashauri ya Mji Ifakara leo Jumatano 04, Septemba 2024 imetinga hatua ya fainali kwenye mashindano ya SHIMISEMITA 2024 yanayoendelea Jijini Mwanza. Timu hiyo imei
read moreWataalamu kutoka Wizara ya fedha,Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na wadau wa sekta ya fedha wametoa elimu ya huduma za kifedha kwa makundi mbalimbali ikwemo Bodaboda,vijana wanawake na wenye ulemavu katik
read moreNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe.Doto Biteko amezindua Kituo cha kupoza umeme Mei 31,2024 kilichopo Kata ya Kibaoni katika Halmashauri ya Mji Ifakara. Kituo hicho kilichoanza
read more Maadhimisho ya Wiki ya Elimu yamefanyika Mei 24,2024 katika Viwanja vya Shule ya Sekondari Mang'ula ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe.Dunstan Kyobya. Aid
read moreWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe.Mohamed Mchengerwa amefanya Ziara ya katika Mji wa Ifakara Mei 20,2024. Katika Ziara hiyo Mhe.Mchengerwa amekagua Jengo la Hospitali ya Halmas
read moreMkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Ifakara Zahara Michuzi ametembelea Wahanga wa Mafuriko waliopoteza wapendwa wao Mwanzoni mwa Mwezi huu na kuwapa pole kwa niaba ya Mbunge, Mwenyekiti wa Halmashauri na
read moreMbunge wa Jimbo la Kilombero Mhe.Abubakar Asenga ametoa msaada kwa wahanga wa mafuriko leo Aprili 9,2024 katika kata ya Lipangala kambi iliyopo shule ya Msingi Kiyongwire pamoja n
read more
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Mji Ifakara
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Simu ya Mkononi: -
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.