Posted on: February 24th, 2025
Wananchi wa Jimbo la Kilombero wametakiwa kushiriki katika Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura linalotarajiwa kuanza kuanzia Tarehe 1Machi, 2025 hadi tarehe 7 Machi 2025 katika Kat...
Posted on: February 26th, 2025
Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki (BVR) Jimbo la Kilombero Februari 26 ,2025 wamepatiwa Mafunzo kuelekea zoezi hilo linalotarajiwa kufanyika kuanzia 1-7 Machi 202...
Posted on: February 19th, 2025
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Deodatus Philip Mwanyika (Mb), imefanya ziara yake katika Miradi mbalimbali inayopatikana Halmashau...