MHESHIMIWA KASSIM FAYA NAKAPALA ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA
KASSIM FAYA NAKAPALA ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA
Mhe. Kassim Faya Nakapala ameshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Ifakara kwa kupata kura 21 kati ya Kura 27 zilizopigwa na Wajumbe. Aidha Makamu Mwenyekiti Mhe. Andrew Matajiri alichaguliwa kushika nafasi hiyo kwa kupata kura 21 kati ya kura 27 zilizopigwa. Ikumbukwe kuwa Viongozi hawa wamechaguliwa kushika nafasi hizi kwa Kipindi cha Pili