Posted on: November 26th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe. Wakili Dunstan Kyobya leo tarehe 26 Novemba 2024 , ameongoza matembezi ya kuhamasisha Wananchi wa Kilombero kushiriki Uchaguzi kesho tarehe 27 Novemba 2024...
Posted on: November 22nd, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe. Wakili Dunstan Kyobya amewataka wataalam wa Maendeleo ya Jamii na Watendaji wa Kata Wilaya ya Kilombero kusimamia ipasavyo miradi ya Maendeleo katika maeneo yao....
Posted on: November 21st, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe. Wakili Dunstan Kyobya amepokea miche 16,090 ya Kakao, Michikichi , korosho na Karafuu kutoka Shirika la Six Rivers Africa linalojihusisha na uh...