• Nukuu ya Ukaribisho
  • Maswali ya mara kwa mara
  • Mawasiliano Yetu
Ifakara Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Mji Ifakara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia
    • Taswira
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Biashara
    • Ukaguzi wa Ndani
    • Manunuzi & Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Ustawi wa Jamii
    • TEHAMA
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
  • Uwekezaji
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Kapu
    • Utamaduni,Sanaa & Michezo
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos

HAMASA YATOLEWA KWA JAMII YA WAFUGAJI KUSHIRIKI MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI PAMOJA NA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA IFAKARA TC

Posted on: February 27th, 2025

Wafugaji  wa Kijiji cha Nyange kilichopo Kata ya Msolwa Station katika Halmashauri ya Mji Ifakara wamehamasishwa kushiriki na kutambua umuhimu wa siku ya Wanawake Duniani itakayoadhimishwa  tarehe 8 Machi Duniani kote na  kujitokeza kushiriki  zoezi la kuboresha taarifa zao katika Daftari la Kudumu la  Wapiga Kura linalotarajiwa kuanza tarehe 1 hadi 7 Machi Jimbo la Kilombero .

Hamasa hiyo imetolewa leo tarehe 27 Februari 2025 na Diwani wa Viti Maalum Tarafa ya Mang'ula Mhe. Petronila Mayombo , Diwani wa Viti Maalum Tarafa ya Kidatu Mhe. Emma Ngunga pamoja na Afisa Maendeleo ya Jamii ambaye ni Mratibu wa Dawati la Jinsia wa Halmashauri ya Mji Ifakara  Bw. Agano Mtweve ambapo waliwaelemisha juu ya Matukio hayo ambapo kwa Mkoa wa Morogoro sherehe hiyo itaadhimishwa katika Halmashauri ya Mji Ifakara  Viwanja vya CCM Tangani au Uwanja wa Taifa - Ifakara ambapo Mgeni Rasmi atakua Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima.

Aidha kwa upande wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Jamii hiyo ilielezwa kuwa Vituo vitakua wazi kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 12:00 Jioni  katika Kata zote 19 kwenye Vijiji , Mitaa na Vitongoji .

Mmoja wa Wafugaji hao Bibi. Rehema Samato aliwashukuru Viongozi hao kwa kuwafikia katika Maeneo yao  Ili waweze kushiriki katika matukio hayo muhimu kwa  Taifa  na kuahidi kuwa jamii hiyo itashiriki vizuri.


Latest Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA KUPIGA KURA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA KITUO TOFAUTI NA KITUO ALICHOJIANDIKISHA

    read more
  • TANGAZO LA ULIPAJI WA ADA NA USHURU KWA WANANCHI, WAFANYABIASHARA NA TAASISI MBALIMBALI IFAKARA MJI

    read more
  • View More

Habari Mpya

  • MKURUGENZI HALMASHAURI YA MJI IFAKARA AKAGUA MWITIKIO WA WANAFUNZI KURIPOTI SHULENI
  • KAMISHNA WA OPERESHENI NA MAFUNZO AKAGUA KITUO KIPYA CHA POLISI KIBAONI ,IFAKARA
  • KAYA MASKINI ZILIZO TAMBULIWA ZAINGIZWA KWENYE MFUMO ILI KUWEZESHA SERIKALI KUTOA HUDUMA KWA HARAKA NA KWA UFANISI
  • HALMASHAURI YA MJI IFAKARA YAENDELEA NA UTAMBUZI WA KAYA MASKINI
  • MADIWANI WILAYA YA KILOMBERO WATAKIWA KUIBUA NA KUSIMAMIA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA KATA
  • More

Mawasiliano Yetu

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Ifakara
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Simu ya Mkononi: -

Kurasa za Haraka

  • CHF
  • Ramani ya halmashauri ya mji wa Ifakara
  • MATOKEO KIDATO CHA NNE 2024
  • BOFYA HAPA KUOMBA KITAMBULISHO CHA WAJASILIAMALI WADOGO
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2024

Kurasa Mfanano

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Wizara ya Tamisemi
  • Wizara ya utumishi wa uma
  • Tovuti ya mkoa wa Morogoro
  • Tovuti ya Ajira Tanzania

Mitandao ya Kijamii

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya Uhifadhi
  • Maswali ya mara kwa mara
  • Ramani