-
Feb 10
-
Feb 03
-
Feb 02
-
Feb 02
-
Feb 03
-
Feb 01
-
Feb 01
-
Jan 31
Wataalam wa Halmashauri ya Mji Ifakara wakiongozwa na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Adv.Florida Kimambo,wamefanya ziara ya kutembelea Miradi pendekezwa ya Mwenge kwa mwaka 2024 Jengo la Hote
read moreMwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Ifakara Mhe.Kassim Nakapala ameongoza kikao cha Baraza la Kata leo Februari 3,2024 . Ambapo kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Adv.Florida Kimambo al
read moreAfisa Afya wa Halmashauri ya Mji Ifakara Jafari Ngogomela ameongoza zoezi la muendelezo wa kutibu Maji Tarehe 1 Februari 2024 ( Water Treatment ) kwa kutumia Dawa maalum akishirik
read moreMAJI YATIBIWA KUDHIBITI KIPINDUPINDU Afisa Afya wa Halmashauri ya Mji Ifakara ndugu Jafari Ngogomela ameongoza zoezi la muendelezo wa kutibu Maji Tarehe 1 Februari 2024 ( Water Treatment ) kw
read moreMkuu wa Divisheni ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Reuben Urassa amezungumza na Wafanyabiashara wa Soko la Kiberege Februari 2,2024 ili waanze kufanya shughuli zao katika vizimba vipya vya Soko hilo.
read moreMkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Ifakara Bi.zahara Michuzi amefanya kikao na Watendaji kata wote Februari 1,2024 wa Halmashauri ya Mji Ifakara akisisitiza uwajibikaji unaozingatia Maadili has
read moreMkuu wa wilaya ya kilombero Wakili Dunstan kyobya, Amemwagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi Wilaya(OCD) Kuhakikisha Anachukua Hatu Kali Dhidi ya Wale Wote Aliowaita Mawakili Vishoka Kwa Kuchafua na Kuharibu
read moreMkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Ifakara Bi.Zahara Michuzi amefanya kikao na Wakala wa Majengo - TBA leo Januari 31,2024. Lengo la Kikao hicho ni kufanya makubaliano ya namna gani ujen
read more
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Mji Ifakara
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Simu ya Mkononi: -
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.