Clinic ya Ardhi yafana Ifakara
Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe.Dunstan Kyobya, ametoa hati za Viwanja vilivyolipiwa leo Machi 22,2024 katika viwanja vya Soko la Ifakara.


Hata hivyo Kamishna msaidizi wa Ardhi Mkoa wa Morogoro, amepata wasaa wakujibu maswali mbalimbali ya Wananchi kuhusu huduma za Ardhi pamoja na kutoa ushauri wa kitaalam.

Kamishna msaidizi wa Ardhi Mkoa wa Morogoro Frank Minzikuntwe,akijibu maswali mbalimbali

