MAANDALIZI YA MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI KWA MWAKA 2026/27 HADI 20230/31
MAFUNZO KWA WAKUU WA IDARA NA VITENGO PAMOJA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA JUU YA UANDAAJI WA MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI WA MWAKA 2026/27 - 2030/31
Wakuu wa Idara na Vitengo pamoja na Watumishi wa Halmashauri ya Mji Ifakara wakiwa katika Uandaaji wa Mpango Mkakati wa Halmashauri ya Mji Ifakara kwa mwaka 2026/27 hadi 2030/31. Mafunzo hayo yalifunguliwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Ifakara tarehe 5 Disemba 2025 ambapo aliwataka Watumishi hao kuzingatia Mafunzo hayo kwa makini ili waweze kuandaa Mpango Mkakati Bora kwaMaendeleo ya Halmashauri ya Mji Ifakara.
