• Nukuu ya Ukaribisho
  • Maswali ya mara kwa mara
  • Mawasiliano Yetu
Ifakara Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Mji Ifakara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia
    • Taswira
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Biashara
    • Ukaguzi wa Ndani
    • Manunuzi & Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Ustawi wa Jamii
    • TEHAMA
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
  • Uwekezaji
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Kapu
    • Utamaduni,Sanaa & Michezo
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos

MKUU WA WILAYA YA KILOMBERO MHE.WAKILI DUNSTAN KYOBYA APOKEA MICHE YA KIMKAKATI 16,090 KUTOKA SHIRIKA LA SIX RIVERS AFRICA.

Posted on: November 21st, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe. Wakili Dunstan Kyobya amepokea miche 16,090  ya  Kakao, Michikichi , korosho na Karafuu kutoka Shirika la Six Rivers  Africa  linalojihusisha na uhifadhi wa wanyama pori na kukuza uchumi wa jamii zinazopakana na hifadhi ya Taifa ya Nyerere Halmashauri ya Mji Ifakara.

Miche hiyo  imepokelewa leo tarehe 21 Novemba 2024 katika Ofisi za Six Rivers Africa ambapo Mkuu  wa Wilaya alilipongeza Shirika hilo kwa uhifadhi wa mazingira na kusema kuwa  Miche hiyo itabadilisha maisha ya mtu mmoja mmoja au kikundi na kuwataka Maafisa Maendeleo ya jamii na Wadau wote wa mazingira kuhamasisha na kutoa  Elimu ya kutosha kwa Wananchi juu ya uhifadhi wa mazingira.


"  Miche hii 16090 inatupa mwongozo wa kipi tufanye badala ya kukata miti  haya Mazao ya kakao, korosho, Michikichi na karafuu yatasaidia kuwapa kipato cha mtu mmoja mmoja na mwisho wa siku uhifadhi wa mazingira utafanyika katika maeneo yetu". Alieleza Mhe. Kyobya


Kwa upande wake  Bi. Irene Masonda ambaye ni Afisa Mradi wa Shirika la Six Rivers  Africa alisema Miche hiyo ni Miche ya kibiashara ambaayo mkulima akichanganya katika shamba lake atakua na uwezo wa kuvuna  Mazao mengine kwa muda mfupi.


Aidha , Vijiji vitakavyonufaika na mradi huo ni 12 vilivyopo ndani ya Kata 8 ambavyo ni Katindiuka, Mbasa, Lugongole, sagamaganga, signali, nyamwezi,Mkasu ,bwawani ,mhelule,mikoleko, msalise na miwangani.






Latest Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA KUPIGA KURA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA KITUO TOFAUTI NA KITUO ALICHOJIANDIKISHA

    read more
  • TANGAZO LA ULIPAJI WA ADA NA USHURU KWA WANANCHI, WAFANYABIASHARA NA TAASISI MBALIMBALI IFAKARA MJI

    read more
  • View More

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI KWA MWAKA 2026/27 HADI 20230/31
  • MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA, TIMU YA MENEJIMENTI WAPONGEZWA
  • MHESHIMIWA KASSIM FAYA NAKAPALA ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA
  • MHESHIMIWA KASSIM FAYA NAKAPALA ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA
  • KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA KILOMBERO AWATAKA MADIWANI KUHAKIKISHA KERO ZA WANANCHI ZINATATULIWA
  • More

Mawasiliano Yetu

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Ifakara
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Simu ya Mkononi: -

Kurasa za Haraka

  • CHF
  • Ramani ya halmashauri ya mji wa Ifakara
  • MATOKEO KIDATO CHA NNE 2024
  • BOFYA HAPA KUOMBA KITAMBULISHO CHA WAJASILIAMALI WADOGO
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2024

Kurasa Mfanano

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Wizara ya Tamisemi
  • Wizara ya utumishi wa uma
  • Tovuti ya mkoa wa Morogoro
  • Tovuti ya Ajira Tanzania

Mitandao ya Kijamii

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya Uhifadhi
  • Maswali ya mara kwa mara
  • Ramani