SHULE YA SEKONDARI LIPANGALALA YAANZA RASMI
Shule ya Sekondari Lipangalala iliyojengwa kupitia Mradi wa SEQUIP kwa gharama ya sh.528,998,425/= fedha kutoka Serikali Kuu imefunguliwa leo Januari 15, 2024 .
Pamoja na ufunguzi huo wa Shule Viongozi, Walimu na wanafunzi wameshiriki kupanda Miti shuleni hapo kama sehemu ya kampeni ya kuendelea kutunza mazingira.

