Posted on: January 12th, 2024
Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Ifakara Rashid Semngoya ametoa shukrani kwa wadau mbalimbali waliofanikisha Mbio za Mwenge wa Uhuru wa Mwaka 2023.
Shukrani hizo zimetolewa katika...
Posted on: January 11th, 2024
Kufikia 2025 Wananchi wa Mji wa Ifakara wataondokana na kero ya upungufu wa Maji kupitia Mradi wa Maji unaojengwa Kitongoji cha Nanganji Kijiji cha Kibaoni kata ya Kibaoni u...
Posted on: January 8th, 2024
Katibu Tawala Wilaya ya Kilombero Abraham Mwaikwila, ametembelea baadhi ya Shule za Msingi na Sekondari leo Januari 8,2023.
Katika matembezi hayo ameambatana na Maafisa Elimu wa Msingi ...