Kitengo cha Manunuzi na Ugavi katika Halmashauri ndiyo Kitengo chenye Wajibu wa kushauri,kutekeleza na kusimamia manunuzi yote yanayofanywa na Halmashauri kwa mujibu wa Sheria ya manunuzi ya Umma ya mwaka 2011, kanuni zake za mwaka 2013 na marekebisho yaliyotolewa mnamo tarehe 12/9/2014 na 10/6/2016 ili kuwawezesha Wananchi na Wadau kupata huduma stahiki zenye thamani sawa na fedha iliyotumika au vifaa vivyonunuliwa kutekeleza miradi kuwa sawa na thamani ya fedha iliyotumika (Value for money).Kujua zaidi kuhusiana na kitengo hiki bonyeza hapa chini kati
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Ifakara Mh.Mashaka Mbilinyi (aliyevaa Suti) akikabidhi Mikataba ya Ujenzi wa Barabara kwa Wakandarasi walioshinda Zabuni hiyo 2017/2018 katika Hafla ya kutia saini Mikataba (Signing Ceremony)
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Simu ya Mkononi: -
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa