Posted on: February 21st, 2023
Mkuu wa wilaya ya Kilombeo Mhe.Wakili Dunstan Kyobya ametembelea miradi ya ujenzi wa Hospitali pamoja na Ofisi za Makao Makuu ya Halmashauri ya Mji Ifakara na kusisitiza usafi pia kukamilisha ujenzi h...
Posted on: February 20th, 2023
Mhe.Wakili Dunstan Kyobya Mkuu wa wilaya ya Kilombero amewasihi wakazi wa wilaya ya Kilombero kuongeza uzalishaji wa mazao ikiwemo Mpunga. ...