Timu ya Wasichana chini ya Miaka 17 "Home Queens Ifakara" imerejea huku ikipokelewa na Mkurugenzi & DAS pamoja na watumishi katika Halmashauri ya Mji Ifakara.