Idara ya Mifugo na Uvuvi ndiyo yenye jukumu la kusimamia maendeleo ya Sekta za Mifugo na Uvuvi katika Halmashauri.Idara ya Mifugo na Uvuvi imeendelea kuzalisha Ajira kwa Wafugaji,Wavuvi, Wafanyabiashara wa samaki/nyama, nk. Hata hivyo ufugaji unaendelea kuchangia katika kukuza kipato cha kaya na kuongeza lishe katika jamii.Idara imeweka malengo ya kuongeza kasi ya uhamasishaji wa kufuga mifugo/samaki katika maeneo yote yenye sifa za ufuga
Kufahamu zaidi kuhusu Majukumu, Mafanikio na Matarajio ya Idara ya Mifugo na Uvuvi katika kuwahudumia Wananchi na Wadau kwa mujibu wa Dira na Dhima ya Halmashauri. Tafadhali bonyeza kiungio cha bluu hapa chini
Idara ya Mifugo na Uvuvi kwa kina
Mkuu wa Idara ya Mifugo na Uvuvi Halmashauri ya Mji Ifakara ndugu Elia Shemtoi, akizungumza na Wavuvi na Maafisa Uvuvi waliofanikisha kukamatwa kwa makokoro wakati wa Doria katika Mto wa Kilombero wakati wa zoezi mojawapo la Uteketezaji wa Makokoro hayo
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Simu ya Mkononi: -
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa