Posted on: December 11th, 2023
Watumishi wa Halmashauri ya Mji Ifakara wameadhimisha siku kuu ya 9 Disemba kwa kufanya Bonanza la michezo sambamba na usafi wa Mazingira katika kituo cha Afya kibaoni
"Umoja na mshikamano ni...
Posted on: December 7th, 2023
Kaimu Mkurugenzi Ndg.Rashid Semngoya amezungumza na Waganga wafawidhi wa Vituo vya Afya na Zahanati za Halmashauri ya Mji Ifakara ili kuweza kutoa huduma bora Kwa wananchi.
Hata hivyo amewataka kut...
Posted on: December 6th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe.Dunstan Kyobya amekabidhi pikipiki sita(6) Kwa maafisa Ugani na mifugo zilizotolewa na wizara ya mifugo na uvuvi leo desemba 6,2023.
Hata hivyo Halma...