MAJI YATIBIWA KUDHIBITI KIPINDUPINDU
Afisa Afya wa Halmashauri ya Mji Ifakara ndugu Jafari Ngogomela ameongoza zoezi la muendelezo wa kutibu Maji Tarehe 1 Februari 2024 ( Water Treatment ) kwa kutumia Dawa maalum akishirikiana na Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Ifakara ( IFAUWASA) ili kudhibiti kutokea kwa ugonjwa wa kipindupindu na Magonjwa mengine,
Zoezi hili limefanyika katika kata 3 , Kibaoni , Ifakara na Viwanja sitini ambapo Jumla ya visima vitano vya jamii vimefanyiwa matibabu.
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Simu ya Mkononi: -
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa