Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Mji Ifakara la robo ya 4 2016/2017 ambalo pia lilihusisha kuapishwa kwa Diwani na Mbunge Mteule wa Rais Mh.Mch.Dkt Getrude Rwakatare
Wanawake Wanaounda Majukwaa ya Uwezeshwaji Kiuchumi wa Halmashauri ya Mji Ifakara leo wameweka kando Itikadi zao za Kisiasa na kuungana na Watanzania wenzao kumkumbuka Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa kupeana mbinu za kujikwamua Kiuchumi na kuelimishana kuhusu Haki zinazomlinda Mwanamke na Mtoto wa Kike huku wakiufananisha Utendaji wa Rais Dkt John Pombe Magufuli na Hayati Baba wa Taifa
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kibaoni Ifakara wanavyofurahia mafunzo kwa vitendo katika Maabara iliyojengwa kwa nguvu za Wananchi, Halmashauri na Serikali Kuu kwenye shule yao
Mwalimu aeleza ilivyopandisha Ufaulu kwa Wanafunzi wa Masomo ya Sayansi
Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa