Bi. Zahara Michuzi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Ifakara amenunua pikipiki 19 kwaajili ya watendaji wa kata zote 19.