Wananchi mbalimbali wa Halmashauri ya Mji Ifakara wamejitokeza kushiriki matembezi maalumu kwaajili ya kuhamasisha kushiriki Uchaguzi na kujiandikisha. Matembezi hayo yaliongozwa na Mbunge, Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi 2024.
Wanufaika wa fedha za TASAF Halmashauri ya Mji Ifakara, waelezea namna fedha za TASAF kupitia miradi waifanyayo ilivyo wanufaisha kwenye Kata zao 2024.
Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa