Bi. Zahara Michuzi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Ifakara amenunua pikipiki 19 kwaajili ya watendaji wa kata zote 19.
Hafla ya Uzinduzi wa Utoaji Mikopo ya Asilimia 10 Halmashauri ya Mji Ifakara . Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe. Wakili Dunstan Kyobya 2024.
Pikipiki 19 zakabidhiwa kwa Watendaji wa Kata za Halmashauri ya Mji Ifakara ikiwa ni njia ya kutatua changamoto ya usafiri iliyokua ikiwakabili watendaji hao hasa katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku.
Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa