• Mawasiliano Yetu |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Ifakara Town Council
Ifakara Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Ifakara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Wasifu wa Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Ujenzi
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu & Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo,Ushirika & Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Manunuzi & Ugavi
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mkaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Uwekezaji
  • Huduma
    • Ukodishaji wa Mitambo
    • Upimaji,Usanifu wa Viwanja,Majengo &Mashamba
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za kudumu
    • Kata
      • Mbasa
      • Katindiuka
      • Mlabani
      • Lumemo
      • Kibaoni
      • Viwanja sitini
      • Ifakara
      • Michenga
      • Lipangalala
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • CHF iliyoboreshwa
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Kanuni
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
  • Mifumo

MWENGE WA UHURU 2017 HALMASHAURI YA MJI IFAKARA

Posted on: June 16th, 2017

Siku ya ijuma ya wikii hii [June 16,2017] Mji wa Ifakara ulikimbiza mwenge wa 

uhuru baada ya kuupokea kutoka Wilaya Malinyi ambapo ulikimbizwa katika  miradi 8 iliyopo mjini hapa huku 5 ni ya kuwekwa jiwe la msingi miwli ikiwa ya  kuzinduliwa na moja ukiwa wa kuonwa .      

Miradi hiyo ni pamoja na mradi wa Ujenzi wa maabara shele ya sekondari  kilombero kwa ajili ya masomo ya phizikia na kemia,mradi wa ‘’ NGAKAWE  ‘’wenyelengo la  utoaji wa elimu ya kupiga vita dawa za kulevya na vitendo vya rushwa, mradi wa Eneo lilotengwa kwa ajili ya uwekezaji wa viwanda ,mradi wa ujenzi wa hositali ya kansa ,mradi wa mpango endelevu wa kuthibiti na  kupambana na ugonjwa wa malaria, Mradi mwingine ni pamoja na  kikundi cha  ujasriamali, mradi wa  ujenzi wa ofisi ya kata, pamoja na mradi wa Programu ya  upandaji miti.     

Jumla  ya  miradi  hiyo  yote  mpaka  kukamilika  kwake  ni sh. Bilioni  1.6kwa   michango iliyotolewa kupitia ngavu  za  wananchi na Fedha iliyotolewa na  serikali   kuu  Halmashauri  ya  mji kwa kushirikiana na wahisani wa mashirika mbalimbali 

Katika miradi  yote hiyo  kiongozi  wa mbio za mwenge wa uhuru ndug Amour H Amour amesisitiza juu ya matumizi bora ya fedha  za serikali ambapo aliagiza  miradi yote ilingane na thamani ya pesa iliyo tumika kuikamilisha.

Ninawapongeza sana kwa kuwa na kiwanda kikubwa na kizuri kuliko vyote katika  maeneo yote ambapo mwenge umepita napia naomba ni sisitize juu ya utoaji  huduma bora zenye kufuata weledi kwa wana  nchi ilithamani na uzuri wa jingo hili uendane na huduma  wanazo pata wananchi huku mkizingatia kuwa  madaraka mliyo nayo yanatokana  na  uwepo wa wananchi hawa’’Aliongeza  Amour. 

Akiwa katika mradi wa kupambana  na malaria ambao umegarimu zaidi ya sh. 1,073,562,500/= katika hospitali ya Kibaoni, Amour alisifu jitihada zilizofanywa na uwongozi Halmashauri  kupitia uwongozi wa hospitali hiyo kwa kugawa bima ya  afya kwa wazee wasio jiweza  na vyandarua kwa wajawazito kwa kazi nzuri ya  kuhakikisha wananchi wanapatiw  huduma  nzuri za afya  nakuwa taka wananchi   kujali afya zao. 

Mara baada  ya kumaliza mbio zake katika Halmashauri ya mji Ifakara ,mwenge  wa uhuru ulikabidhiwa katika wilaya ya kilombero mkoa wa Morogoro  na  makabidhiano  hayo kufanyika mjini Ruwaha siku ya juma mosi june 17,2017.

 Mwenge wa uhuru kwa mwaka 2017umebeba ujumbe unaosema ’’Shiriki  kukuza uchimi wa viwanda  kwa maendeleo ya nchi yetu.

Matangazo

  • No records found
  • Ona yote

Habari Mpya

  • DC KYOBYA NA MENEJIMENTI (CMT) YA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA WATEMBELEA MASOKO YA WAFANYA BIASHARA WA SAMAKI WALIOPO STENDI YA KIBAONI NA SOKO LA KARIAKOO KATIKA KATA YA VIWANJA SITINI

    July 09, 2025
  • MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA BI. PILLY KITWANA AWATAKA MAAFISA ELIMU KATA NA WAKUU WA SHULE ZA SEKONDARI KUSIMAMIA VIZURI MIRADI YA MAENDELEO

    July 09, 2025
  • WATUMISHI HALMASHAURI YA MJI IFAKARA NA HALMASHAURI YA WILAYA MLIMBA WAJENGEWA UWEZO JUU YA UTEKELEZAJI WA MFUMO WA USIMAMIZI WA UTENDAJI KAZI KATIKA UTUMISHI WA UMMA (e -UTENDAJI).

    June 26, 2025
  • WATUMISHI HALMASHAURI YA MJI IFAKARA NA HALAMSAHURI YA WILAYA MLIMBA WAJENGEWA UWEZO JUU YA UTEKELEZAJI WA MFUMO WA USIMAMIZI WA UTENDAJI KAZI KATIKA UTUMISHI WA UMMA (e -UTENDAJI).

    June 26, 2025
  • Ona yote

Video

Shangwe la Mkesha wa Mwenge 2025 Uwanja wa CCM Mkamba Kidatu Msanii wa Muziki MC Hamza akiimba na wanaIfakara, Tarehe 17-04-2025.
More Videos

Kurasa za Haraka

  • MATOKEO KIDATO CHA NNE 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024
  • Ramani ya halmashauri ya mji wa Ifakara
  • BOFYA HAPA KUOMBA KITAMBULISHO CHA WAJASILIAMALI WADOGO
  • CHF

Kurasa Mfanano

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Wizara ya Tamisemi
  • Wizara ya utumishi wa uma
  • Tovuti ya mkoa wa Morogoro
  • Tovuti ya Ajira Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Mawasiliano Yetu

    Kibaoni - Bomani

    Sanduku la Barua: 433 Ifakara

    Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212

    Simu ya Mkononi: -

    Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Uhifadhi
    • Kanusho
    • Ramani
    • Huduma

Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa