Afisa Ushirika wa Halmashauri ya Mji Ifakara ,ndugu Marick Mabuba akitoa mafunzo ya sheria ya huduma ndogo za fedha na.10 ya mwaka 2018 na kanuni za huduma ndogo za fedha za mwaka 2019,kwa Wajumbe wa Bodi na Watumishi wa chama cha Ushirika cha Akiba na Mikopo cha Kilombero District worksers SACCOS ,Katika maandalizi na utungaji wa sera mbalimbali,ikiwemo sera Utumishi/ajira,Uwekezaji,Menejimenti ya ukwasi,mali na dhima ,Sera ya Mikopo,Sera ya uwekezaji,sera ya uhasibu na fedha,na sera ya hisa na akiba.Katika maandalizi ya kutimiza vigezo katika maombi ya leseni kwa mujibu wa sheria ya Huduma ndogo za fedha (Microfinance Act, 2018) na kanuni zake (microfinance Saving and Credit Cooperative Societies Regulations 2019)
Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa