Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Ifakara Ndg.Lena M.Nkaya pamoja na wakazi wa kata ya kiberege wameshiriki zoezi la upandaji miti katika Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Mji Ifakara ambao bado unaendelea.
Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa