• Mawasiliano Yetu |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Ifakara Town Council
Ifakara Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Ifakara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Wasifu wa Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Ujenzi
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu & Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo,Ushirika & Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Manunuzi & Ugavi
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mkaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Uwekezaji
  • Huduma
    • Ukodishaji wa Mitambo
    • Upimaji,Usanifu wa Viwanja,Majengo &Mashamba
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za kudumu
    • Kata
      • Mbasa
      • Katindiuka
      • Mlabani
      • Lumemo
      • Kibaoni
      • Viwanja sitini
      • Ifakara
      • Michenga
      • Lipangalala
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • CHF iliyoboreshwa
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Kanuni
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
  • Mifumo

WILAYA YA KILOMBERO YAZINDUA MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA 2025

Posted on: January 25th, 2025

Wilaya ya Kilombero Januari 25,2025 imezindua Maadhimisho ya Wiki ya Sheria nchini  katika Viwanja vya Mahakama ya Wilaya ya Kilombero iliyopo Halmashauri ya Mji Ifakara .

Uzinduzi huo ulitanguliwa na maandamano yaliyoanzia Stendi Kuu ya Mabasi Kibaoni mpaka Mahakama ya Wilaya ya Kilombero ambapo Mgeni Rasmi katika Uzinduzi huo alikua Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe. Wakili Dunstan Kyobya ambaye aliwataka Wananchi wa Wilaya hiyo kujitokeza kwa wingi kupata huduma za Kisheria katika maeneo na vituo mbalimbali vilivyowekwa kutoa huduma hizo ili wapate ufumbuzi na  utatuzi wa Migogoro mbalimbali ya Kisheria.

"Kuna migogoro tofautitofauti ya  Ardhi, mirathi, talaka n.k hivyo taasisi zinazohusika na haki jinai wahakikishe watu wanapata haki zao katika jamii". alisisitiza Mhe . Kyobya

Kwa upande wake Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Kilombero ,Mhe. Regina Futakamba aliwasisitiza Wananchi wa Kilombero kujitokeza kupata huduma hizo ikiwemo Elimu na utatuzi wa Migogoro ya Kisheria.

" Huduma hii imezinduliwa leo 25 /1/2025 hadi tarehe 1/2/2025 na kilele chake itakua tarehe 3/2/2025 hivyo ni vyema Wananchi kutumia fursa hii katika Vituo vinavyotoa Elimu za Kisheria na huduma hii inatolewa buree". Alieleza Mhe. Regina

Aidha Mhe. Regina alivitaja Vituo vinavyotoa huduma hizo za Sheria kuwa ni Stendi ya Kibaoni, Mahakama ya Wilaya na Mahakama zote za Mwanzo.

Kauli mbiu katika Maadhimisho hayo ya Wiki ya Sheria ni " Tanzania ya  2050: Nafasi ya Taasisi zinazo Simamia haki Madai katika Kufikia Malengo Makuu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo".









Matangazo

  • KUITWA USAILI BVR TARAFA YA MANG'ULA February 07, 2025
  • KUITWA USAILI BVR TARAFA YA IFAKARA February 07, 2025
  • KUITWA USAILI BVR TARAFA YA KIDATU February 07, 2025
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE HALMASHAURI YA MJI IFAKARA November 01, 2022
  • Ona yote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI IFAKARA MJI AWAHIMIZA WANANCHI KUJITOKEZA KWA WINGI KUPATA HUDUMA ZA MATIBABU YA KIBINGWA.

    May 28, 2025
  • MKUTANO WA TRA NA WAFANYABIASHARA WILAYA YA KILOMBERO

    March 05, 2025
  • HAMASA YATOLEWA KWA JAMII YA WAFUGAJI KUSHIRIKI MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI PAMOJA NA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA IFAKARA TC

    February 27, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI NGAZI YA JIMBO JUU YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    February 22, 2025
  • Ona yote

Video

Shangwe la Mkesha wa Mwenge 2025 Uwanja wa CCM Mkamba Kidatu Msanii wa Muziki MC Hamza akiimba na wanaIfakara, Tarehe 17-04-2025.
More Videos

Kurasa za Haraka

  • MATOKEO KIDATO CHA NNE 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024
  • Ramani ya halmashauri ya mji wa Ifakara
  • BOFYA HAPA KUOMBA KITAMBULISHO CHA WAJASILIAMALI WADOGO
  • CHF

Kurasa Mfanano

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Wizara ya Tamisemi
  • Wizara ya utumishi wa uma
  • Tovuti ya mkoa wa Morogoro
  • Tovuti ya Ajira Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Mawasiliano Yetu

    Kibaoni - Bomani

    Sanduku la Barua: 433 Ifakara

    Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212

    Simu ya Mkononi: -

    Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Uhifadhi
    • Kanusho
    • Ramani
    • Huduma

Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa