• Mawasiliano Yetu |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Ifakara Town Council
Ifakara Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Ifakara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Wasifu wa Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Ujenzi
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu & Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo,Ushirika & Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Manunuzi & Ugavi
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mkaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Uwekezaji
  • Huduma
    • Ukodishaji wa Mitambo
    • Upimaji,Usanifu wa Viwanja,Majengo &Mashamba
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za kudumu
    • Kata
      • Mbasa
      • Katindiuka
      • Mlabani
      • Lumemo
      • Kibaoni
      • Viwanja sitini
      • Ifakara
      • Michenga
      • Lipangalala
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • CHF iliyoboreshwa
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Kanuni
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
  • Mifumo

WANA KILOMBERO MKASHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Posted on: November 5th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe. Wakili Dunstan Kyobya  amewahimiza Wananchi wa Kata ya Ifakara na Wilaya ya Kilombero kwa ujumla wenye sifa za kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kushiriki Uchaguzi huo ifikapo tarehe 27 Novemba 2024.

Hayo ameyasema leo Novemba 5, 2024 wakati alipokua akitatua Mgogoro wa Ardhi katika Mtaa wa Kilosa Mangwale uliopo Kata ya Ifakara.

Aidha,  aliwasihi Viongozi wa Dini na Viongozi wengine wote kukumbusha watu kushiriki Uchaguzi huo.

" Zimebaki siku 22 kufikia tarehe ya uchaguzi , hivyo kila mwananchi mwenye sifa ya Kupiga kura , ashiriki  kuchagua viongozi watakaoleta Maendeleo". Alisema Mhe. Kyobya.

Pia Mhe. Kyobya aliwaeleza Wananchi hao kujiandaa kwa ajili ya Tamasha kubwa la Kilombero FeStival litakalofanyika kuanzia Tarehe 6 hadi 8 , Desemba 2024 ambapo lengo la Tamasha hilo ni kuitangaza Kilombero katika Nyanja mbalimbali za utalii, Kilimo, uchumi, Uvuvi na utamaduni.



Matangazo

  • No records found
  • Ona yote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA PILLY KITWANA ATEMBELEA BANDA LA HALMASHAURI YA IFAKARA MJI KUKAGUA MAANDALIZI YA MWISHO KUELEKEA MAONESHO YA NANE NANE 2025 KANDA YA MASHARIKI

    July 30, 2025
  • BODI YA PAMBA TANZANIA YAFANYA UWEKEZAJI KWA KUKODI ENEO LA KIJIJI CHA KIKWAWILA LENYE UKUBWA WA EKARI ELFU 11,000 KWAAJILI YA KILIMO CHA DENGU

    July 20, 2025
  • MGOGORO WA MPAKA BAINA YA WANANCHI WA KIJIJI CHA MACHIPI NA HIFADHI YA MILIMA YA UDZUNGWA KATIKA ENEO LA ITULA UNATAFUTIWA SULUHU YA KUDUMU, TIMU YA WATAALAMU NA WAWAKILISHI WA WANANCHI KUFIKA ENEO HILO KWAAJILI YA KUKAGUA MIPAKA

    July 11, 2025
  • DC KYOBYA NA MENEJIMENTI (CMT) YA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA WATEMBELEA MASOKO YA WAFANYA BIASHARA WA SAMAKI WALIOPO STENDI YA KIBAONI NA SOKO LA KARIAKOO KATIKA KATA YA VIWANJA SITINI

    July 09, 2025
  • Ona yote

Video

Shangwe la Mkesha wa Mwenge 2025 Uwanja wa CCM Mkamba Kidatu Msanii wa Muziki MC Hamza akiimba na wanaIfakara, Tarehe 17-04-2025.
More Videos

Kurasa za Haraka

  • MATOKEO KIDATO CHA NNE 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024
  • Ramani ya halmashauri ya mji wa Ifakara
  • BOFYA HAPA KUOMBA KITAMBULISHO CHA WAJASILIAMALI WADOGO
  • CHF

Kurasa Mfanano

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Wizara ya Tamisemi
  • Wizara ya utumishi wa uma
  • Tovuti ya mkoa wa Morogoro
  • Tovuti ya Ajira Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Mawasiliano Yetu

    Kibaoni - Bomani

    Sanduku la Barua: 433 Ifakara

    Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212

    Simu ya Mkononi: -

    Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Uhifadhi
    • Kanusho
    • Ramani
    • Huduma

Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa