Kupitia Tangazo la Serikali namba 64 yatarehe 17/12/2023 Ikiwa ni Amri ya Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupandisha hadhi ya Pori Tengefu la Kilombero na kuwa Pori la Akiba la Kilombero Mhe.Wakili Dunstan Kyobya.Mkuu wa wilaya ya Kilombero amewasilisha Amri hiyo katika kikao kazi kilicho fanyika March 1,2023 katika halmashauri ya wilaya ya mlimba na kuwataka viongozi wote wa kata na vijiji kuwa na nakala itakayo onyesha mipaka ya pori la Akiba la Kilombero.
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Simu ya Mkononi: -
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa