Mkuu wa Mkoa wa Morogoro akigawa chaki kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Ifakara pamoja na wakuu wa Idara ya Elimu Msingi na Sekondari zilizotolewa kama zawadi na kiwanda kidogo cha Ifakara Chalk kilichopo kata ya Kibaoni mjini Ifakara katika maadhimisho ya siku ya uhuru kuelekea kilele siku ya tarehe 08/12/2021 kimkoa.
Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa