Wataalam wa Halmashauri ya Mji Ifakara wakiongozwa na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Adv.Florida Kimambo,wamefanya ziara ya kutembelea Miradi pendekezwa ya Mwenge kwa mwaka 2024
Jengo la Hotel linalomilikiwa na Mtu Binafsi Kata ya Mwaya.
Boma la Ofisi ya Kata ya Mwaya lililojengwa kwa nguvu za Wananchi
Madarasa Mawili ya Shule ya Msingi Kisawasawa
Boma la Zahanati ya Kijiji cha Sululu lililojengwa kwa Nguvu za Wananchi.
Nyumba ya Mwalimu ya Shule ya Sekondari Mchonjoe iliyopo kata ya Mbasa.
Ukumbi wa Sherehe unaomilikiwa na Mtu Binafsi uliopo Kata ya Kibaoni.
Shule ya Sekondari Lipangalala.
Zahanati ya Bokela
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Simu ya Mkononi: -
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa