Mgeni rasmi akitembelea na kujionea shughuli mbalimbali za kujiingizia kipato zinazotekelezwa na vikundi vya watu waishio na VVU katika Halmashauri ya Mji Ifakara. Pia alipata wasaha wa kuwashauri kuhusu uboredhaji wa shughuli hizo na kuchangamkia fursa za mikopo inayotolewa na Halmashauri.
Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa