Kampuni ya uzalishaji wa Sukari- Kilombero Sugar imekabidhi Msaada wa chakula kiasi cha Tani 6 za Mchele na Maharagwe chenye Thamani ya Tsh.Milioni 14 kwa Wahanga wa Mafuriko katika Wilaya ya Kilombero Aprili 17,2024 kwa Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe.Dunstan Kyobya.
Nae Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Ifakara Zahara Michuzi ametoa shukran za dhati kwa Kampuni hiyo na kuomba wadau wengine waendelee kujitokeza kutoa Misaada kwa Kaya zilizoathirika.
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Simu ya Mkononi: -
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa