Kikao cha Pili cha Kamati Kuu ya Maandalizi ya Maonesho ya Nanenane Kanda ya Mashariki 2025 kimefanyika mapema leo tarehe 2 Juni 2025 katika Ukumbi wa JKT Nane nane uliopo Manispaa ya Morogoro.
Aidha Kikao hicho kinashirikisha Mikoa ya Kanda ya Mashariki ambayo ni Dar es Salaam, Pwani, Tanga na Morogoro kiliongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge ambapo kilipitia na Kuidhinisha Taarifa ya Maandalizi ya Maonesho ya Nane Nane 2025.
Kikao hicho kilihudhuriwa na Wahe. Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wahe. Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri, Wataalamu wa Kilimo , Mifugo na Uvuvi wa Wilaya ,Mji ,Manispaa ,Jiji pamoja na Maafisa Habari wa Halmashauri.
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Simu ya Mkononi: -
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa