Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe.David Kihenzile, amefika katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Ifakara Mjini ili kupata Taarifa za Mafuriko kutokana na Mvua zinazoendelea, zilizoanza kunyesha Machi 25,2024.
Hata hivyo ametoa pongezi kwa viongozi wa Ngazi zote.
"Tumeungana nanyi kuwapa pole na pongezi kwa Viongozi wa Ngazi zote ndani ya Wilaya hii kwani mmekuwa kimbilio la Wananchi katika nyakati hizi ngum, Wananchi wanakimbilia Vyombo hivi vya Usalama kwakuwa ndio kimbilio lao."
April 4,2024
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Simu ya Mkononi: -
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa