Kaimu Mkurugenzi Ndg.Rashid Semngoya amezungumza na Waganga wafawidhi wa Vituo vya Afya na Zahanati za Halmashauri ya Mji Ifakara ili kuweza kutoa huduma bora Kwa wananchi.
Hata hivyo amewataka kutunza Maadili na miiko ya kiutumishi kwa kuepuka kufanya vitendo visivyo faa kazini .
Vilevile waboreshe mawasiliano ili kujenga mahusiano mazuri kati Yao na viongozi wanaosimamia Vituo hivyo kama watendaji wa kata,mitaa na vijiji ili kutoa huduma bora yenye ufanisi katika jamii.
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Simu ya Mkononi: -
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa