Saturday 12th, July 2025
@
Maafisa Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri ya Mji Ifakara Wametoa Elimu na Kusajili wajasiriamali katika Soko la Kariakoo lililopo Kata ya Viwanja Sitini kuhusu Mikopo inayotolewa na Serikali kwaajili ya Kuwakwezesha Wananchi Kiuchumi ambayo ni Mikopo ya Asilimia Kumi inayotokana na Mapato ya Ndani ya Halmashauri.
Mikopo hiyo inalenga Vikundi vya Wanawake , Vijana na Watu wenye Ulemavu (WYD) pamoja na Mikopo ya Wajasiriamali ( WBN) ambayo ni kwa Wafanyabiashara wadogowadogo wenye mtaji usiozidi Milioni 4.
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Simu ya Mkononi: -
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa