Monday 9th, December 2024
@Wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya
ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI NA WATAALAMU WILAYANI MBARALI MKOA WA MBEYA
Halmashauri ya Mji Ifakara imefanikiwa kufanya ziara kwa lengo mahususi la kujifunza namna ya kufanya kilimo cha umwagiliaji wilayani Mbarali Mkoa wa Mbeya kwa maslahi ya wananchi wa Halmashauri ya Mji na Taifa kwa ujumla,ziara hii imejumuisha waheshimiwa madiwani wote pamoja na baadhi ya wakuu wa Idara,ziara hii imeanza tarehe 15/12/2022 na inategemewa kukamilika tarehe 19/12/2022.
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Simu ya Mkononi: -
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa