Kamishna wa ardhi msaidizi wa mkoa morogoro kwa kushirikiana na mkurugenzi wa halmashauri za
Wananchi wote wamiliki wa viwanda na mashamba mkoani morogoro juu ya msamaha wa riba ya malimbikizo ya kodi ya pango la ardhi lilitolewa na mh. rais upitia waziri wa ardhi. mwisho wa msamaha huu ni tarehe 31-desemba-2022
' WAHI SASA KATIKA HALMASHAURI HUSIKA KULIPIA DENI LA MSINGI ILI UNUFAIKE NA MSAMAHA HUU '
Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa